Walimu na Ufundishaji Tanzania Sauti za Marafiki wa Elimu

Walimu Na Ufundishaji Tanzania Sauti Za Marafiki Wa Elimu-Free PDF

  • Date:12 Feb 2020
  • Views:28
  • Downloads:0
  • Pages:36
  • Size:2.75 MB

Share Pdf : Walimu Na Ufundishaji Tanzania Sauti Za Marafiki Wa Elimu

Download and Preview : Walimu Na Ufundishaji Tanzania Sauti Za Marafiki Wa Elimu


Report CopyRight/DMCA Form For : Walimu Na Ufundishaji Tanzania Sauti Za Marafiki Wa Elimu


Transcription:

Waandishi Betty Malaki Finike Gogomoka, Wachangiaji Mary Nsemwa Lilian R Kallaghe Godfrey Telli. Mhariri Rakesh Rajani,Mchoraji Nathan Mpangala,c HakiElimu 2004. SLP 79401 Dar es Salaam Tanzania,Anwani pepe rafiki hakielimu org. Tovuti www hakielimu org,ISBN 9987 423 00 00, Sehemu yoyote ya kitabu hiki inaweza kunakiliwa kwa minajili isiyo ya kibiashara. ilimradi chanzo cha sehemu iliyonakiliwa kinaonyeshwa na nakala kutumwa kwa. Utangulizi,1 Mafunzo kwa Walimu 3,2 Mbinu za Ufundishaji 7.
3 Makazi ya Walimu 12,4 Mishahara ya Walimu 15,5 Ubora wa Elimu 20. 6 Hitimisho 30,iv Sauti za Marafiki wa Elimu,Utangulizi. Rafiki wa Elimu aliyeko Tabora alitembelea wananchi wasiotaka kuwapeleka watoto shule katika. jamii yake Alitembelea pia shule za msingi akaongea na wanafunzi na kuwaelimisha haki yao ya. kupata elimu Aliwaeleza wanafunzi hao pia mbinu wanazoweza kutumia katika kuwasaidia wale. wasiofahamu maana ya elimu Ziara ya Rafiki huyo ilizaa matunda pale ambapo baadhi ya wazazi. walikubali kuwapeleka watoto shule na wazazi wengine walijiunga na elimu ya watu wazima. Mfano huu unatufundisha jinsi ambavyo Marafiki wa Elimu wanaweza kuleta mabadiliko katika. elimu na jamii kwa ujumla Katika kitabu hiki ipo mifano mingine ya shughuli zilizofanywa na. Marafiki katika kuleta mabadiliko ya elimu Mifano hiyo itawasaidia kufahamu nini Marafiki. wanachoweza kufanya katika Harakati za kuboresha elimu Maoni hayo pia yanaweza kuchochea. mijadala hatimaye kuleta mabadiliko ya elimu nchini. Marafiki wa Elimu ni Harakati za watu wanaojali na wenye nia ya kuona haki ya kupata elimu ya. msingi inakuwepo Tanzania Madhumuni ya Harakati za Marafiki wa Elimu ni kutoa fursa kwa. watu wanaojali elimu nchini kubadilishana mawazo na maoni yao kuhusu masuala ya elimu. Harakati za Marafiki wa Elimu zinachangia kubadilisha mfumo wa shule na kuzifanya ziwe bora. kwa wote HakiElimu tumepokea barua nyingi kutoka kwa Marafiki wa Elimu zenye maoni tofauti. yanayohusu mazingira ya kazi na maisha ya walimu Tunawapongeza wote waliotumia muda wao. kutuma maoni yao kwetu, Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu tano mafunzo kwa walimu mbinu za ufundishaji. makazi ya walimu mishahara ya walimu na ubora wa elimu Kila sehemu imejengwa kwa kutumia. nukuu kutoka katika barua tulizopokea Pia tumeandika majina ya waandishi wa nukuu hizo kwa. kutumia vifupisho vya majina na namba za uanaharakati kwa vile hatukuwaomba ruhusa ya. kuweka wazi majina yao, Serikali iko katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi MMEM. unaohakikisha kuwa kila mtoto anapata elimu bora Katika hotuba yake ya mwezi Oktoba 2004. Rais Benjamin Mkapa alisema, Shule zimeongezeka Vyumba vya madarasa vimeongezeka Walimu wengi.
zaidi wameajiriwa na wengine wanasomeshwa Idadi ya wanafunzi katika. shule za msingi imeongezeka kwa usawa wa kijinsia na wengi zaidi. wanafaulu kuliko huko nyuma Changamoto iliyo mbele yetu ni kurekebisha. penye kasoro na kuzidi kuboresha pale ambapo mambo yamekwenda vizuri. Huo ndio mtazamo sahihi wa kimaendeleo, Ni dhahiri kuwa Serikali inatambua umuhimu wa walimu na hata kero zinazowazunguka Ndio. maana katika miaka ya karibuni walimu wengi zaidi waliajiriwa Hata hivyo katika kila kona ya. nchi hukosi kusikia malalamiko ya walimu Mara mishahara midogo na inacheleweshwa mara. hawalipwi posho mara hawana nyumba za kuishi na madai mengine mengi Wengi wao wakiwa. na maswali tofauti kama vile je kuna haja ya kupandishwa madaraja ikiwa mishahara haibadiliki. Sauti za Marafiki wa Elimu 1, Utafiti uliofanywa na Chama cha Walimu Tanzania kwa kushirikiana na HakiElimu umegundua. kuwa matatizo makubwa yanayowakabili walimu huwafanya wasiweze kufundisha kwa ufanisi. Walimu wamedai kuwa wanapata matatizo si katika mishahara tu ila hata wanapodai haki zao. za msingi zinazohusu fedha kama vile bima ya afya kodi ya nyumba fedha za uhamisho nk. Serikali inajikuta inadaiwa malimbikizo makubwa ya pesa hizo za walimu. Bila shaka mazingira ya kazi ya walimu yangekuwa bora elimu kwa watoto wetu ingekuwa bora. Ingekuwa vizuri ikiwa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi MMEM ungehakikisha walimu. wana nyumba za kutosha hasa katika maeneo magumu Vilevile ushiriki wa walimu katika uundaji. wa sera ya elimu na mafunzo na mambo mengine mengi kama hayo ni muhimu Tunaamini kuwa. kijitabu hiki kitaibua mijadala zaidi hatimaye kuleta mabadiliko katika elimu. 2 Sauti za Marafiki wa Elimu,1 Mafunzo kwa Walimu, Mafunzo kwa walimu ni kwa ajili ya maendeleo ya mwalimu shule na nchi kwa ujumla Pia. humwezesha mwalimu kukabiliana na mabadiliko ya mitaala na kuongeza ujuzi wa kufundisha. Mafunzo yanaweza kuleta mabadiliko katika ufundishaji kwa mwalimu hatimaye katika. maendeleo ya mwanafunzi Ujuzi na uwezo wa mwalimu katika ufundishaji una madhara. makubwa kwa mwanafunzi katika kujifunza na kupata kitu anachotarajia kutoka kwa mwalimu. huyo Mafunzo yakitolewa kwa uhakika huongeza ufanisi kwa mwalimu hatimaye kuleta. mafanikio kwa mwanafunzi, Katika Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi MMEM Serikali ina mikakati ya kuongeza. uandikishwaji wa watoto katika shule za msingi Katika utekelezaji wa mkakati huo Serikali ina. mpango wa kuwapatia walimu mafunzo ili waweze kuboresha kiwango cha ufundishaji Waziri. wa Elimu na Utamaduni katika hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu na Utamaduni ya 2004 2005. alisema Serikali itaboresha taaluma na utaalamu wa ufundishaji kwa walimu kwa kutoa mafunzo. kazini kwa kutumia njia na mbinu shirikishi,Sauti za Marafiki wa Elimu 3.
Wasemavyo Marafiki wa Elimu,Umuhimu wa mafunzo kwa walimu. Mwalimu ambaye ndiyo chanzo cha uboreshaji elimu shuleni atasaidiwaje kama hamtachangia. mafunzo ya walimu kupandishwa madaraja wala kuwalipia kozi yoyote na tukizingatia kuwa zipo. faida za kujiendeleza kimasomo hasa kwa walimu Tunafahamu kuwa msingi wa mwanafunzi. unategemea kujengwa na mwalimu Ili mwalimu aongeze taaluma zaidi anahitaji kujisomea zaidi. Naamini kwamba taaluma ndogo kwa walimu inasababisha kushusha elimu mashuleni hivyo ili. kuboresha elimu nchini tuzingatie taaluma kwa walimu. Mwl A S Namba 300528 Shinyanga,Walimu wahusishwe katika kuandaa mitaala. MMEM iangalie suala la kuwapeleka masomoni walimu Hii ina maana kwamba walimu. wapelekwe kozi fupi kwa ajili ya kujikumbusha mbinu mpya za kufundisha Mfano masomo kama. Hisabati Kiswahili English Sayansi ili waendane na. mabadiliko yanayotokea katika mfumo wa elimu Katika Kumbuka kuwa walimu ndio. kubadilisha mitaala ya shule za msingi hakuna utaratibu wanaofanyia kazi mitaala na. maalum kwamba baada ya miaka kadhaa mtaala, utabadilika ili kuwawezesha walimu kwenda sambamba ndio wanaoweza kutambua. na mabadiliko hayo Pia hakuna utaratibu wa mapungufu ya mitaala. kuwashirikisha walimu wa shule za msingi kutoka, maeneo mbalimbali ya nchi mijini na vijijini katika kuandaa mitaala Kumbuka kuwa walimu ndio. wanaofanyia kazi mitaala na ndio wanaoweza kutambua mapungufu ya mitaala Naomba walimu. wahusishwe katika kuandaa mitaala hasa wale walioko mashuleni ambao ndio walioko katika. mazingira ya kazi,A H L Namba 305037 Mtwara,Somo la stadi za kazi lifundishwe kwa vitendo.
Katika shule zote za msingi hivi sasa kuna somo la stadi za kazi na Maarifa ya Jamii ambayo kama. yatafundishwa kwa vitendo yatamwandaa kabisa mwanafunzi kujitegemea baada ya elimu yake. ya msingi Ili kufanikisha hili mambo muhimu ya kuzingatia ni kuwa na walimu wenye taaluma ya. somo la stadi za kazi inayowawezesha wanafunzi kutenda. J K C Mwanza,4 Sauti za Marafiki wa Elimu,Rafiki wa Elimu Tabora aleta mabadiliko. Napenda kutoa taarifa ya matunda au mafanikio ya kazi ya Harakati za Marafiki niliyofanya. Nimepita sehemu mbalimbali mijini na vijijini nikiwaelimisha watu kuhusu faida ya elimu. Katika sehemu nilizopita nilikutana na watu mbalimbali Wengine ni waelewa wengine si. waelewa Wengine walikubali kuwapeleka watoto wao shule wengine hawakutaka hata. kusikia neno elimu Hadi kufikia sasa nimetembelea shule 4 za msingi Nimekaa na wanafunzi. na kuongea nao na kuwahakikishia kuwa wana haki ya kupata elimu bora Pia niliwapa mbinu. mbalimbali za kuweza kuwasadia wenzao ambao hawajafahamu maana ya elimu. Pamoja na hayo nilitembelea familia ambazo wazazi wanawanyima watoto wao haki elimu. Familia nilizotembelea ni 23 katika hizo ni familia 9 ambazo hawakutaka watoto wao. wasome Tena katika hizo 9 ni familia 3 ambazo kuanzia baba mama na watoto hakuna. aliyesoma hata chekechea Familia hizo nilizielewesha kuhusu suala zima la elimu. Walikubaliana kuwa watu wote wana haki ya kupata elimu bora Hivyo walionyesha kwa. vitendo kwa kuwapeleka watoto wao kuwaandikisha darasa la 1 Watoto ambao walipelekwa. kuandikishwa ni 38 Wazazi ambao walijiunga na elimu ya watu wazima ni 3. Y D Namba 302648 Tabora,Semina kuhusu mitaala mipya zitolewe. Kama kweli kuna harakati za kuinua elimu Tanzania naomba kozi ya ualimu iwe ya miaka miwili. Grade III A na sio ya mwaka mmoja Mwaka mmoja walimu wanakuwa hawajaiva sawasawa hata. muhtasari unakuwa haujaisha Walimu pia tunaomba semina na kozi kila mitaala mipya inapoanza. kutumiwa shuleni Sisitizo liwe kwa wale wenye vipindi hivyo ili kuepuka kurudiarudia kwa kuwa. ni gharama,N K I Namba 304294 Pwani, Walimu wenye Diploma wafundishe shule za msingi pia. Serikali iongeze bidii zaidi katika upanuzi wa elimu ya walimu ili kuongeza idadi ya walimu na. kupunguza tatizo la upungufu wa walimu katika shule zetu Walimu waliopata elimu zaidi kama. vile kutoka daraja A kwenda Diploma au zaidi isiwe ni kikomo cha kutoa elimu katika shule za. msingi na mwanzo wa kuhamia katika shule za sekondari bali wabaki kufundisha shule za msingi. Kinachotakiwa ni wizara husika kuboresha maisha yao kiuchumi ili kuwatia moyo waweze. kubakia katika mazingira yanayowakabili,C P M Namba 307296 Mwanza. Sifa maalum zitumike kwa wanaojiunga na ualimu, Katika miaka ya karibuni kumetokea wimbi la vijana wanaojiunga katika mafunzo ya ualimu.
wakiwa na matokeo mabaya hususan daraja la nne na sifuri katika masomo yao ya kidato cha. nne na wengi wao wakiwa na historia isiyo nzuri Hali hii inasababisha kuwepo kwa walimu. wahuni wasio na nidhamu kwa wanafunzi na wenye uwezo duni wa kufundisha hivyo. kuhatarisha mikakati ya kuinua ubora wa elimu ya msingi Hivyo naishauri Serikali na wizara. husika kulimulika suala hili ambapo ingeweka vigezo au sifa maalum zitakazomwezesha mtu. kupata mafunzo ya ualimu akiwa na sifa husika Kwa kupitia utaratibu huu mikakati ya kuwa na. elimu bora ingefikiwa,S D Namba 304563 Dar es Salaam. Sauti za Marafiki wa Elimu 5,Wanahitajika walimu bora na si bora walimu. Wananchi na wazazi tunahitaji mazingira bora ya kujifunzia vijana wetu ambao ndio viongozi wa. kesho Kero yangu na nzito kwangu ni juu ya kupata walimu bora ili watunze hayo mazingira. bora na safi Katika kipindi hiki cha mpito walimu, ambao watapatikana hawatakuwa walimu bora ila bora Naomba suala la kuelimisha. walimu Mtindo wa walimu wa vyuo kuchagua walimu kwa ajili ya shule za. wanachuo kuingia vyuoni umekuwa ni mbaya sana na,wa upendeleo na unatoa mianya ya rushwa Vijana. msingi lipewe uzito wa pekee, wengi ambao wanajiunga hawana sifa ya walimu wala kwa kuchagua watu wanaofaa.
hawana wito ila wanaona bora tu kupata ajira Vyeti kuwa walimu. feki ni vingi na wenye daraja la nne na sifuri pia wapo. vyuoni Walimu hao kweli tunategemea kuboresha elimu ya watoto au kuharibu tu Nina. wasiwasi baada ya miaka mitatu tutakuwa na majengo bora sana na bora walimu na siyo walimu. bora Naomba suala la kuelimisha walimu kwa ajili ya shule za msingi lipewe uzito wa pekee kwa. kuchagua watu wanaofaa kuwa walimu Huwezi kutoa usichokuwa nacho Watu wanaoshindwa. mitihani wasiruhusiwe kusomea ualimu hawana uwezo kitaaluma. G K Namba 306289 Tabora,6 Sauti za Marafiki wa Elimu. 2 Mbinu za Ufundishaji, Mbinu bora za ufundishaji ni zile zinazomwezesha mwanafunzi kuwa mdadisi mbunifu na. anayependa kujifunza Mbinu hizi zinazingatia ushiriki wa wanafunzi katika mchakato wa. kujifunza Pia matumizi ya zana mbalimbali na mifano humwezesha mwanafunzi kuelewa vizuri. na kwa haraka zaidi Ufundishaji mzuri ni pamoja na kujenga uhusiano mzuri kati ya mwalimu. na mwanafunzi Hata hivyo ufundishaji katika shule nyingi hapa nchini umetawaliwa na adhabu. ya viboko kama njia ya kuleta nidhamu na kuwafanya wanafunzi waelewe wanachofundishwa. Katika baadhi ya shule zetu hapa nchini bado walimu wanatoa adhabu kali kupita kiasi kwa. wanafunzi Baadhi ya walimu huwachapa wanafunzi idadi yoyote ya viboko kwa kosa dogo tu. Hivi kwa kumchapa mwanafunzi walimu hawaoni kuwa wanaweza kumuumiza mwanafunzi. badala ya kumjenga Walimu hao hawafahamu kuwa wanakiuka haki za binadamu Kwa nini. walimu hawafuati kanuni zilizowekwa na Wizara ya Elimu Ni ukweli usiopingwa kuwa adhabu. ya viboko kwa mtoto haimsaidii badala yake humfanya awe sugu Kwa mujibu wa sheria ya elimu. Na 25 ya mwaka 1978 kifungu cha 60 0 mtu pekee anayeruhusiwa kumchapa mtoto ni. Mwalimu Mkuu na ni lazima aandike katika rejesta jina la mtoto anayechapwa na kosa alilotenda. Sheria pia inataka mwanafunzi wa kike achapwe na mwalimu wa kike au mwalimu aliyeteuliwa. na Mwalimu Mkuu na adhabu isizidi viboko vinne Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watoto. kifungu cha 2 na 37 unakataza unyanyasaji na adhabu kali kwa watoto. Sauti za Marafiki wa Elimu 7,Wasemavyo Marafiki wa Elimu. Mwanafunzi aliyeumizwa kwa kiboko, Leo nawatumia kisa cha kushangaza tena cha kusikitisha kilichotokea katika . makazi ya walimu mishahara ya walimu na ubora wa elimu Kila sehemu imejengwa kwa kutumia Semina kuhusu mitaala mipya zitolewe

Related Books