UCHAMBUZI WA KIISIMUJAMII WA MAJINA YA KOO ZA KISUKUMA

Uchambuzi Wa Kiisimujamii Wa Majina Ya Koo Za Kisukuma-Free PDF

  • Date:10 Feb 2020
  • Views:137
  • Downloads:3
  • Pages:109
  • Size:2.88 MB

Share Pdf : Uchambuzi Wa Kiisimujamii Wa Majina Ya Koo Za Kisukuma

Download and Preview : Uchambuzi Wa Kiisimujamii Wa Majina Ya Koo Za Kisukuma


Report CopyRight/DMCA Form For : Uchambuzi Wa Kiisimujamii Wa Majina Ya Koo Za Kisukuma


Transcription:

UTHIBITISHO, Aliyetia saini hapo chini anathibitisha kuwa ameisoma tasnifu hii yenye mada. Uchambuzi wa Kiisimujamii Katika Majina ya Koo za Kisukuma Mfano Wilaya. ya Misungwi na amekubali kuwa imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa. kuwasilishwa kwa ajili ya utahini wa shahada ya Uzamili ya Kiswahili ya Chuo Kikuu. Huria cha Tanzania,Dkt Bibiana S Komunte,HAKIMILIKI. Hairuhusiwi kuiga au kunakili kwa namna yoyote ile tasnifu hii kwa ajili yoyote kama. vile kielektroniki kurudufu nakala kurekodi au njia yoyote nyingine bila ya idhini ya. mwandishi au Chuo kikuu Huria cha Tanzania, Mimi Leticia Bussungu Kalekwa nathibitisha kuwa hii ni kazi yangu halisi na. haijawahi kuwasilishwa katika chuo kikuu kingine chochote kwa ajili ya kutunukiwa. shahada hii au nyingine yoyote, Tasnifu hii naitabarukia mume wangu mpendwa Mussa Daudi ambaye alinihimiza na. kunitia moyo kila mara maisha yalipokuwa magumu kama mawe Aidha alistahimili. upweke na ukiwa ulioathiri hali ya kawaida katika harakati yote ya masomo yangu. Vilevile naitabarukia wazazi wangu wapendwa Mzee Julius Nyaga na mama Auleria. Bussungu walionilea na kunifunza thamani ya mtoto wa kike kupata elimu Baba na. Mama Mungu awape maisha marefu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo wa kutimiza ndoto yangu ya.
kupata shahada ya uzamili katika Kiswahili Ninawashukuru wahadhiri wote wa Idara. ya Isimu kwa kazi yao nzuri kupitia nasaha zao, Aidha Ninamshukuru Dkt Bibiana Shauri Komunte kwa mwongozo mzuri wa. kunijenga hadi kukamilisha kazi hii Mungu amjalie afya njema katika maisha yake. Pia ninawashukuru Dkt Anna Kishe Dkt Hanna Simpasa Prof James Mdee Dkt. Zelda Elisifa Dkt Hadija Jilala na Dkt Nestory Ligembe walionipa ushauri na. maelekezo ili nifanikishe kazi hii, Pia Ninawashukuru marafiki zangu Said H Said Johnbosco B Joseph Vedastus. Ambrose Mary Kanichi na Lucas Jeremiah kwa kunihimiza ili nisife moyo japo. maisha yalikuwa yamechukua mkondo tofauti Ninawashukuru wote waliofanikisha. utafiti huu, Mwisho lakini si mwisho kabisa Ninamshukuru sana Mjomba wangu George. Bussungu kwa kunitia moyo katika muda wote wa masomo yangu Mwisho kabisa. lakini wa kwanza kwa umuhimu ninamshukuru sana Mume wangu na wanangu. wapendwa Janeth Justine na Japhet kwa uvumilivu na staha yao wakati wote wa. masomo yangu, Utafiti huu ulilenga kuchambua kiisimujamii majina ya koo za kisukuma wilayani. Misungwi katika mkoa wa Mwanza Katika kutimiza azima hii malengo mahususi. yalikuwa kwanza kufafanua jinsi majina ya kisukuma yanavyotofautisha jinsi ya. wanajamii na kuchambua jinsi Nyanja za kiisimujamii zinavyosababisha majina ya. koo hizo Mikabala ya maelezo na takwimu imetumika Mbinu za utafiti zilizotumika. ni usaili na hojaji Sampuli makusudi imetumika Eneo la utafiti ni Wilaya ya. Misungwi katika mkoa wa Mwanza Data zimekusanywa kwa maswali dodoso na. usaili Matokeo ya utafiti wa lengo mahususi la kwanza yamebainisha majina. kutofautisha jinsi za wanajamii hawa lakini yanafanana kimaana ijapokuwa. yanatofautiana kifonolojia kutokana na kitamkwa fonimu kimoja au silabi moja. inayounda maneno ya majina hayo Mfano Kabula ni mwanamke wakati. Mabula ni mwamme lakini yote mawili yanamaanisha Mvua Kwahiyo silabi. ka na ma ndiyo hutofautisha jinsi hizi mbili Aidha utafiti umedhihirisha kuwa. nyanja za kiisimujamii zinazotofautisha majina ya koo za kisukuma kisemantiki na. kiisimujamii kama hapo juu ilihali Kiisimu jamii yanazingatia matukio ukoo mahali. alipozaliwa na baada ya kuzaliwa mtu Mfano Bulugu au Malugu hutokana na. vita vurugu Kiukoo jina Ng hwashi inamaanisha ukoo wa wavuvi ili hali. Ngwandu inamaanisha aliyezaliwa chini ya Mbuyu Utafiti umehitimisha kuwa. majina ya koo za kisukuma yanafanana kimaana lakini yanatofautiana kifonolojia. kuhusu jinsi Aidha majina ya koo za kisukuma yamegawanyika katika vigezo vya. kisemantiki na kiisimujamii,UTHIBITISHO ii,HAKIMILIKI iii.
TABARUKU v,SHUKRANI vi,IKISIRI vii,ORODHA YA MAJEDWALI xii. ORODHA YA VIAMBATISHO xiv,ORODHA YA VIFUPISHO xv,SURA YA KWANZA 1. UTANGULIZI WA JUMLA 1,1 1 Utangulizi 1,1 2 Usuli wa Lugha ya Kisukuma 1. 1 2 1 Eneo la Lugha ya Kisukuma 1, 1 2 2 Shughuli za Kiuchumi katika Jamii ya Wasukuma 3. 1 2 3 Mfumo wa Kijamii wa Wasukuma 3,1 3 Usuli wa Tatizo 3.
1 4 Tatizo la Utafiti 8,1 5 Malengo ya Utafiti 10,1 5 1 Lengo Kuu 10. 1 5 2 Malengo Mahsusi 10,1 5 3 Maswali ya Utafiti 11. 1 6 Umuhimu wa Utafiti 11,1 6 1 Kitaaluma 11,1 6 2 Kiutamaduni 11. 1 6 3 Kitaifa 12,1 7 Mawanda ya Utafiti 12,1 8 Hitimisho 12. SURA YA PILI 13,MAPITIO YA KAZI TANGULIZI 13,2 1 Utangulizi 13.
2 2 Dhana ya Maana 13,2 3 Dhana ya Isimujamii 16,2 4 Dhana ya Majina kwa Ujumla 18. 2 4 1 Majina kwa Ujumla 23,2 5 Mkabala wa Nadharia 29. 2 6 Sababu za Kiisimujamii za Majina 30,2 7 Kiunzi cha Nadharia 30. 2 8 Hitimisho 35,SURA YA TATU 36,MBINU ZA UTAFITI 36. 3 1 Utangulizi 36,3 2 Muundo wa Utafiti 36,3 3 Eneo la Utafiti 37.
3 4 Kundi Lengwa 38,3 5 Sampuli 39,3 5 1 Usampulishaji 39. 3 6 Mbinu za Utafiti 40,3 6 1 Mbinu za ukusanyaji wa data 40. 3 6 2 Mbinu ya Usaili 40,3 6 3 Mbinu ya Hojaji 41,3 7 Mikabala ya Uchambuaji Data 41. 3 8 Maadili ya Utafiti 42,3 9 Mipaka ya Utafiti 42. 3 10 Hitimisho 42,SURA YA NNE 43, UWASILISHAJI NA UCHAMBUZI WA MATOKEO YA UTAFITI 43.
4 1 Utangulizi 43, 4 2 Nyanja Zinazosababisha Majina ya Koo za Kisukuma 43. 4 2 1 Mgawanyo wa Majina kwa Kigezo cha Kisemantiki 43. 4 2 1 1 Majina ya Koo Yaliyotokana na Mwonekano wa Maumbile 44. 4 2 1 2 Majina Yanayotokana na Sehemu za Makazi 46. 4 2 1 3 Majina ya Koo Yanayotokana na Vitu 47, 4 3 Mgawanyo wa Majina ya Koo kwa Kigezo cha Kiisimujamii 50. 4 3 1 Majina Yaliyotokana na Matukio 51, 4 3 1 1 Matukio Yanavyohusiana na Jinsi Mtoto Alipozaliwa na Baada. ya Kuzaliwa 52, 4 3 1 2 Matukio Yaliyotokana na Mahali pa Kuzaliwa 57. 4 3 1 4 Majina Yanayotokana na Vipindi vya Misimu 59. 4 3 1 5 Majina Yanayotokana na Matendo ya Watu 61, 4 3 3 Majina ya Koo Yaliyotokana na Shughuli Ujuzi wa Kiufundi 64.
4 3 4 Majina ya Koo Yaliyotokana na Vitu 64,4 3 5 Majina Yaliyotokana na Mimea 65. 4 3 6 Majina Yaliyotofautisha Jinsi 66, 4 3 7 Majina Yanayotokana Baada ya Kuzaliwa Watoto Mapacha 67. 4 3 8 Majina Yanayotokana na Chimbuko la Ukoo 69,4 3 9 Majina yanayotokana na Jina la Mungu 70. 4 3 10 Hitimisho 71,SURA YA TANO 72,MUHTASARI HITIMISHO NA MAPENDEKEZO 72. 5 1 Utangulizi 72,5 2 Muhtasari wa Utafiti 72,5 3 Muhtasari wa Matokeo ya Utafiti 73.
5 3 1 Majina ya Koo Yanayotofautisha Jinsi 73, 5 3 2 Nyanja Zinazosababisha Kutumia Majina ya Koo 74. 5 3 3 Athari Zinazojitokeza Katika Kutopewa Majina ya Koo za Kisukuma 75. 5 4 Hitimisho 76,5 5 Mapendekezo 77,5 6 Tafiti Fuatishi 77. MAREJEO 79,VIAMBATISHO 86,ORODHA YA MAJEDWALI, Jedwali Na 4 1 Majina ya Koo Maliyotokana na Mwonekano wa Maumbile 45. Jedwali Na 4 2 Majina ya Koo Yanayotokana na Makazi 47. Jedwali Na 4 3 Majina ya Koo Yaliyotokana na Vitu 48. Jedwali Na 4 4 Matukio Yaliyohusiana na Jinsi Mtoto Alipozaliwa na Baada ya. Kuzaliwa 53, Jedwali Na 4 5 Majina Yanavyohusiana na Jinsi Mtoto Alipozaliwa na Baada ya. Kuzaliwa 54, Jedwali Na 4 6 Majina Yaliyotokana na Mahali pa Kuzaliwa 57.
Jedwali Na 4 7 Majina Yanatokana na Maradhi Hali 58. Jedwali Na 4 8 Majina Yanayotokana na Misimu 60,Jedwali Na 4 9 Majina Yanayotokana na Misimu 60. Jedwali Na 4 10 Majina Yanayotokana na Matendo ya Watu 61. Jedwali Na 4 11 Majina Yanaytokana na Matendo ya Watu 62. Jedwali Na 4 12 Majina ya Koo yaliyotokana na Tabia za Watu Sitiari. Wanyama na Ndege 62, Jedwali Na 4 13 Majina ya Koo Yaliyotokana na Tabia za Watu Sitiari za. Wanyama na Ndege 63, Jedwali Na 4 14 Majina ya Koo Yaliyotokana na Tabia za Watu Sitiari za. Wanyama na Ndege 63, Jedwali Na 4 15 Majina ya Koo Yaliyotokana na Shughuli za Kiufundi 64. Jedwali Na 4 16 Majina Yanayotokana na Hali ya Vitu 64. Jedwali Na 4 17 Majina Yanayotokana na Hali ya Vitu 65. Jedwali Na 4 18 Majina Yaliyotokana na Mimea 65,Jedwali Na 4 19 Majina Yanayotokana na Mimea 66.
Jedwali Na 4 20 Majina Yanayotofautisha Jinsi 67, Jedwali Na 4 21 Majina Yanayotokana Baada ya Kuzaliwa Watoto Mapacha 68. Jedwali Na 4 22 Majina Yanayotokana na Chimbuko la Koo 69. Jedwali Na 4 23 Majina Yanayotokana na MUNGU 70,ORODHA YA VIAMBATISHO. Kiambatisho I Hojaji kwa watafitiwa 86,Kiambatisho II Research Quationnaire 87. ORODHA YA VIFUPISHO,Dkt Daktari,Prof Profesa,TUKI Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili. kuonesha uchambuzi wa kiisimujamii katika uteuzi wa majina ya koo za kisukuma Sehemu hii inazungumzia usuli wa lugha ya kisukuma kwa ujumla wake vipengele vilivyomakinika ni pamoja na eneo la kijiografia katika jamii ya wasukuma shughuli za kiuchumi katika jamii ya wasukuma usuli wa tatizo tatizo la utafiti malengo ya

Related Books