TATHMINI YA MABADILIKO YA RARA MINTARAFU MAENDELEO YA

Tathmini Ya Mabadiliko Ya Rara Mintarafu Maendeleo Ya-Free PDF

  • Date:09 Nov 2019
  • Views:228
  • Downloads:1
  • Pages:357
  • Size:3.77 MB

Share Pdf : Tathmini Ya Mabadiliko Ya Rara Mintarafu Maendeleo Ya

Download and Preview : Tathmini Ya Mabadiliko Ya Rara Mintarafu Maendeleo Ya


Report CopyRight/DMCA Form For : Tathmini Ya Mabadiliko Ya Rara Mintarafu Maendeleo Ya


Transcription:

ii
ITHIBATI
Waliotia saini hapa chini wanathibitisha kwamba wameisoma tasnifu hii
inayojipambanua na mada Tathmini ya Mabadiliko ya Rara Mintarafu Maendeleo
ya Jamii na kupendekeza kwamba inafaa kukubaliwa na Chuo Kikuu Huria cha
Tanzania kwa ajili ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu PhD katika Fasihi ya
Kiswahili ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Prof Emmanuel Mbogo
Msimamizi

Tarehe

Prof T Y Sengo
Msimamizi

Tarehe
iii
HAKIMILIKI
Hairuhusiwi kuzalisha kunakili wala kusambaza sehemu yoyote ya tasnifu hii kwa
namna yoyote ile bila kibali cha maandishi kutoka kwa mwandishi wa tasnifu hii au
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
iv
IKIRARI
Mimi Christopher Alexander Senyamanza ninatamka kwamba tasnifu hii ni kazi
asilia na kwamba haijawahi kuwasilishwa katika Chuo Kikuu wala taasisi yoyote nje
na ndani ya nchi Aidha ni kazi ambayo imefanywa na mimi mweyewe kwa
ushirikiano na wasimamizi wangu kwa ajili ya kutunukiwa shahada ya Uzamivu
PhD Kisw na hakuna aliyewahi kuitumia kazi hii kwa minajili ya kutunukiwa
shahada inayofanana na hii wala ya aina yoyote

Saini

Tarehe
v
TABARUKU
Kwa kutambua mchango wa watu hawa katika maisha yangu Kazi hii nawatabaruku
mama yangu Matreda Obadia Banyikwa na Mjomba wangu George W Banyikwa
Mjomba wangu ametangulia mbele za haki Mwenyezi Mungu ailaze roho yake
mahali pema peponi AMINA

. kiasili Wakati mwingine husimulia matukio ya kubuni na mtambaji wa rara sharti awe fundi wa kupiga ala ya muziki Sanaa hii ilikuwepo tangu mwanadamu alipoanza kuzalisha na kutumia sanaa katika maisha yake Hali hii inatuaminisha kwamba sanaa hii imebadilika tangu wakati huo mpaka leo Hii kutokana na kuwa

Related Books