Sera ya Elimu na Mafunzo

Sera Ya Elimu Na Mafunzo-Free PDF

  • Date:06 Nov 2019
  • Views:302
  • Downloads:0
  • Pages:77
  • Size:1.38 MB

Share Pdf : Sera Ya Elimu Na Mafunzo

Download and Preview : Sera Ya Elimu Na Mafunzo


Report CopyRight/DMCA Form For : Sera Ya Elimu Na Mafunzo


Transcription:

Sera ya Elimu na Mafunzo,SERA YA ELIMU NA MAFUNZO. 2014, i, Sera ya Elimu na Mafunzo,ii, Sera ya Elimu na Mafunzo. YALIYOMO,VIFUPISHO v,DIBAJI vii,SURA YA KWANZA 1,1 0 UTANGULIZI 1. 1 1 Hali Ilivyo 8,SURA YA PILI 18,2 0 UMUHIMU WA SERA 18. 2 1 Dira Dhima na Malengo ya Sera 19,SURA YA TATU 21.
3 0 HOJA NA MATAMKO YA SERA 21, 3 1 Mfumo miundo na taratibu nyumbufu kumwezesha 21. Mtanzania kujiendeleza kwa njia mbalimbali katika. mikondo ya kitaaluma na kitaalamu,3 2 Elimu na mafunzo yenye viwango vya ubora 24. unaotambulika kikanda na kimataifa na kukidhi, mahitaji ya maendeleo ya Taifa. 3 3 Upatikanaji wa fursa mbalimbali za elimu na 40. mafunzo nchini, 3 4 Mahitaji ya Rasilimaliwatu kulingana na Vipaumbele 46. vya Taifa, 3 5 Usimamizi na uendeshaji madhubuti wa elimu na 50.
mafunzo nchini,3 6 Mfumo endelevu wa ugharimiaji wa elimu na 55. mafunzo nchini,3 7 Mfumo wa elimu na mafunzo unaozingatia 57. masuala mtambuka , iii, Sera ya Elimu na Mafunzo,URA YA NNE 60. 4 0 MUUNDO WA KISHERIA 60,4 1 Utangulizi 60,4 2 Sheria za kusimamia elimu na mafunzo 60. SURA YA TANO 62,5 0 MUUNDO WA KITAASISI 62,5 1 Utangulizi 62.
5 2 Ngazi ya Taifa 63,5 3 Ngazi ya Mkoa 65,5 4 Ngazi ya Mamlaka za Serikali za Mitaa 65. 5 5 Ngazi ya Kata 66,5 6 Ngazi ya Shule na Vyuo 67. 5 7 Ufuatiliaji na Tathmini 67,5 8 Hitimisho 68,iv. Sera ya Elimu na Mafunzo, VIFUPISHO,AZAKI Asasi za Kiraia. CA Continuous Assessment, International Growth Centre Presidents .
IGC POPC, Office Planning Commission, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza. MKUKUTA, Umaskini Tanzania,MMEM Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi. Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya,MMES, Sekondari, Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Elimu ya. MMEJU, Juu,MMEU Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Ufundi. Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Watoto,MEMKWA, Walioikosa.
Mpango wa Uwiano kati ya Elimu ya Watu,MUKEJA, Wazima na Jamii. OWM Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na,TAMISEMI Serikali za Mitaa. SADC Southern Africa Development Community,TEHAMA Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. United Nations Educational Scientific and,UNESCO, Cultural Organisation. UKIMWI Upungufu wa Kinga Mwilini,URT United Republic of Tanzania.
WyEMU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,VVU Virusi vya Ukimwi. v, Sera ya Elimu na Mafunzo,vi, Sera ya Elimu na Mafunzo. DIBAJI, Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili. Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 . Sekta ya elimu na mafunzo kwa mujibu wa Dira ya Maendeleo. ya Taifa ya 2025 na Mpango wa muda mrefu wa Maendeleo. ya Taifa 2011 12 hadi 2024 25 inatarajiwa kuleta maendeleo. ya haraka ya rasilimaliwatu kwa kutayarisha idadi ya kutosha. ya Watanzania walioelimika na kupenda kujielimisha zaidi ili. kulifanya Taifa lipate maendeleo na kuwa lenye uchumi wa kati. na shindani ifikapo mwaka 2025 Ili kufikia lengo hili mfumo. wa elimu na mafunzo unaotumika nchini lazima utoe fursa za. kutosha kwa watu kujielimisha Hali kadhalika mfumo huu. unawajibika kutoa elimu na mafunzo yenye ubora unaokubalika. na kutambulika kitaifa kikanda na kimataifa Katika kufanikisha. hili Serikali imekuwa ikitekeleza sera mbalimbali hususan . Sera ya Elimu na Mafunzo 1995 Sera ya Elimu ya Ufundi na. Mafunzo 1996 Sera ya Taifa ya Elimu ya Juu 1999 na Sera ya. Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Elimumsingi 2007 . na kuwa na mafanikio mbalimbali Hata hivyo katika kipindi. hicho changamoto mbalimbali zimejitokeza zikiwemo udhaifu. katika mfumo wa elimu na mafunzo uhaba wa walimu uhaba. wa zana nyenzo na vifaa na miundombinu ya kufundishia na. kujifunzia pamoja na changamoto katika ithibati na uthibiti. wa ubora wa shule na vyuo katika ujumla wake vimechangia. katika kushuka kwa ubora wa elimu na mafunzo nchini . Sera hii imebainisha masuala ambayo Serikali kwa,kushirikiana na wadau katika elimu na mafunzo . itayawekea mkazo zaidi ili kuweka mazingira mazuri. ya kufikia malengo ya mipango ya maendeleo Masuala. haya ni pamoja na kuinua ubora wa mfumo wa elimu na. vii, Sera ya Elimu na Mafunzo, mafunzo ili uwe na tija na ufanisi kuendelea kutoa fursa za.
elimu na mafunzo kwa usawa na kuendelea kuinua ubora. wa mitaala ya elimu na mafunzo ili ikidhi mahitaji ya. maendeleo ya Taifa Aidha Serikali itaendeleza matumizi. ya lugha ya Kiswahili Kiingereza Alama pamoja na lugha. nyingine za kigeni katika elimu na mafunzo Vilevile . itaendelea kuinua ubora wa mfumo wa upimaji tathmini. na utoaji vyeti katika ngazi zote Serikali itaimarisha uwezo. wa uongozi na utawala katika sekta ya elimu na mafunzo. na kupanua wigo wa ugharimiaji wa elimu na mafunzo . Sera hii mpya inaweka Dira ya elimu na mafunzo nchini. kuwa ni Mtanzania aliyeelimika na mwenye maarifa stadi . umahiri uwezo na mitazamo chanya ili kuweza kuchangia katika. kuleta maendeleo ya Taifa na Dhima yetu kuwa ni kuinua. ubora wa elimu na mafunzo na kuweka mifumo na taratibu. zitakazowezesha kupata idadi kubwa ya Watanzania walioelimika. na wanaopenda kujielimisha zaidi ili waweze kuchangia katika. kufikia malengo ya maendeleo ya Taifa letu Ili kufanikisha. utekelezaji wa Sera hii kwa ukamilifu kunahitajika. ushiriki wa wadau wote wa elimu na mafunzo katika, ngazi zote ikiwemo sekta binafsi Asasi za Kiraia AZAKI . na washirika wengine wa maendeleo ,Mwisho napenda kuwashukuru wale wote walioshiriki. kwa namna moja au nyingine katika mchakato mzima wa. kukamilisha Sera hii ,Dkt Shukuru Jumanne Kawambwa Mb . Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, viii, Sera ya Elimu na Mafunzo. SURA YA KWANZA,1 0 Utangulizi, Sera hii ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ni matokeo ya.
kuhuishwa na hatimaye kufutwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo. 1995 Sera ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo 1996 Sera ya. Taifa ya Elimu ya Juu 1999 na Sera ya Teknolojia ya Habari na. Mawasiliano kwa Elimu Msingi 2007 Utekelezaji wa Sera ya. Elimu ya Ufundi na Mafunzo 1996 na Sera ya Taifa ya Elimu. ya Juu 1999 ulisimamiwa na iliyokuwa Wizara ya Sayansi . Teknolojia na Elimu ya Juu na utekelezaji wa Sera ya Elimu na. Mafunzo 1995 na Sera ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. kwa Elimu Msingi 2007 ulisimamiwa na iliyokuwa Wizara. ya Elimu na Utamaduni Mwaka 2006 Serikali ilibadilisha. muundo wa iliyokuwa Wizara ya Elimu na Utamaduni kuwa. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kujumuisha elimu. ya juu na baadaye mwaka 2008 kujumuisha elimu ya ufundi. katika wizara hiyo Sera hizo za elimu kwa ujumla zilitoa. mwongozo kuhusu kuongeza ushirikishwaji wa sekta binafsi . kuongeza fursa za elimu na mafunzo kwa usawa kupanua. wigo wa ugharimiaji wa elimu na mafunzo kuhuisha muundo. wa uongozi wa elimu kwa kupeleka madaraka na majukumu. katika ngazi ya shule jamii wilaya na mikoa kuinua ubora wa. elimu kuimarisha uhusiano kati ya elimu rasmi na elimu nje ya. mfumo rasmi na kuwezesha ukuaji wa utamaduni wa elimu ya. kujiajiri na kubuni ajira , Katika miaka 19 ya utekelezaji wa Sera ya kwanza ya Elimu na. Mafunzo ya mwaka 1995 pamoja na Sera nyingine mahususi. za elimu na mafunzo Tanzania imepata mafanikio makubwa. katika sekta ya elimu Mafanikio haya ni pamoja na kupanua. wigo wa elimu katika ngazi zote kuanzia elimu ya awali hadi. 1, Sera ya Elimu na Mafunzo, elimu ya juu Kwa mfano kwa kutumia taarifa zilizopo za miaka. mbalimbali idadi wa watoto wanojiunga na elimu ya awali. imeongezeka kutoka asilimia 24 7 mwaka 2004 hadi 37 3 mwaka. 2013 na kiwango cha watoto walioandikishwa katika elimu ya. msingi imeongezeka kutoka asilimia 77 6 mwaka 1995 hadi. asilimia 96 2 mwaka 2013 Kiwango cha watoto wanaojiunga. na elimu ya sekondari kimeongezeka pia kutoka asilimia 14 6. mwaka 1995 hadi 59 5 mwaka 2013 , Hali kadhalika idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya. ufundi na mafunzo ya ufundi stadi imeongezeka kutoka 4 641. mwaka 2000 01 hadi 145 511 mwaka 2012 13 Aidha elimu ya. juu imepanuka ambapo vyuo vikuu na vyuo vikuu vishiriki. vimeongezeka kutoka chuo 1 mwaka 1995 hadi 50 mwaka 2013. na kuwezesha idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya. juu kwa ngazi ya Shahada kuongezeka kutoka 16 727 mwaka. 2000 01 hadi 162 510 mwaka 2012 13 , Utekelezaji wa Sera za Elimu na Mafunzo ulifanyika kupitia. sheria kanuni miongozo pamoja na Programu ya Maendeleo. ya Sekta ya Elimu iliyoandaliwa mwaka 1997 Kupitia program. hiyo uliandaliwa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi. MMEM Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari, MMES Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Juu MMEJ .
na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo. MMEU Pia kulikuwa na mipango na programu mbalimbali. kwa ajili ya maendeleo ya elimu ya watu wazima na elimu. nje ya mfumo rasmi Kupitia sheria kanuni miongozo na. mipango hii fursa za elimu na mafunzo zimeongezeka katika. ngazi zote ugatuaji wa majukumu katika sekta ya elimu na. mafunzo umefanyika kutoka Serikali Kuu kwenda Mamlaka za. Serikali za Mitaa vyombo vya ithibati na uthibiti wa ubora wa. 2, Sera ya Elimu na Mafunzo, elimu na mafunzo ya ufundi elimu ya vyuo vikuu mfuko wa. elimu na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu pia. vimeanzishwa na vinafanya kazi nzuri ya kuendeleza elimu na. mafunzo nchini , Hata hivyo changamoto nyingi zimejitokeza katika kipindi cha. utekelezaji wa Sera hizi ambazo zimekuwa zikiathiri ubora. na usawa katika elimu inayotolewa kwenye ngazi mbalimbali . Changamoto hizi ni pamoja na upungufu wa miundombinu na. vifaa vya kufundishia na kujifunzia ikiwemo vitabu maabara . maktabana madarasa upungufu wa walimu hususan walimu. wa sayansi hisabati na stadi za kusoma kuhesabu na kuandika . kushuka kwa morali ya kufundisha miongoni mwa walimu kwa. sababu ya maslahi yasiyoridhisha na mazingira magumu ya. kazi utambuzi hafifu wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu. na mazingira duni ya kujifunzia kutokuwepo kwa utaratibu wa. utambuzi na uendelezaji wa wanafunzi wenye vipaji na vipawa . matumizi hafifu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. TEHAMA katika utoaji wa elimu na mafunzo na walimu na. wanafunzi kutomudu lugha ya kufundishia na kujifunzia katika. ngazi mbalimbali za elimu Vilevile kiwango cha watu wazima. wenye kufahamu kusoma kuandika na kuhesabu kimeshuka. kutoka asilimia 85 mwaka 1992 hadi asilimia 77 9 kulingana na. Sensa ya Taifa ya mwaka 2012 , Aidha bado Sekta ya elimu na mafunzo inakabiliwa na. changamoto ya mfumo usiokidhi mahitaji ya elimu na. mafunzo nchini Mfumo wa elimu na mafunzo umetawaliwa. na muundo wa kitaaluma wenye dhana ya kuchuja wahitimu. ili kupata wachache wenye uwezo mkubwa katika taaluma na. watakaosoma hadi kumaliza katika ngazi ya chuo kikuu Hali. hii inatokana na nafasi za elimu na mafunzo ngazi za juu kuwa. 3, Sera ya Elimu na Mafunzo, chache kadri wanafunzi wanavyohitimu kuanzia ngazi ya elimu. ya msingi na kuendelea hivyo kuwa na muundo wa kuchuja. badala ya ule wa kutoa fursa kulingana na uwezo vipaji na. vipawa Hali kadhalika muundo wa 2 7 4 2 3 unachukua. jumla ya miaka 18 kutoa rasilimaliwatu Hii ina maana kwamba. mwanafunzi anayeanza masomo akiwa na umri wa miaka 7. atamaliza elimu ya juu akiwa na umri wa takribani miaka 23 . Umri huu ni mkubwa ikilinganishwa na nchi nyingine kama za. Afrika ya Kusini Maurishasi Malesia na Ufini ambapo umri wa. kijana anayemaliza elimu ya juu ni takribani miaka 20 hadi 22 . Vilevile hakuna mwingiliano fanisi kati ya muundo wa elimu. ya ufundi na muundo wa elimu ya jumla na hivyo kushindwa. kuwawezesha wahitimu wa elimu ya ufundi kujiendeleza. katika elimu ya juu Pamoja na hayo kuna ukosefu wa mfumo. endelevu wa utambuzi wa sifa mbadala utakaowawezesha. watu waliopata ujuzi kwa njia mbalimbali za elimu na mafunzo. kujiendeleza kielimu na kuingia katika ulimwengu wa kazi . Vilevile kumekuwa na changamoto katika kuinua ubora. wa elimu na mafunzo kutokana na mitaala katika ngazi. mbalimbali za elimu na mafunzo kutokidhi mahitaji ya. mabadiliko ya kiuchumi kijamii kisayansi na teknolojia na. hivyo kutoa wahitimu ambao hawana umahiri wa kutosha. kuhimili ushindani katika ulimwengu wa kazi Aidha Taasisi. na mashirika yanayotoa huduma za kielimu yaliyopo chini ya. Wizara yenye dhamana ya elimu na mafunzo yana mamlaka. kamili ya uendeshaji wa shughuli za elimu bila kuwa na. mahusiano ya kisheria katika utendaji baina yao na wizara. zinazosimamia elimu na mafunzo na hivyo kuathiri ubora. wa elimu itolewayo Hali kadhalika changamoto nyingine ni. kutokuwepo kwa ugharimiaji endelevu kutokana na mifuko ya. 4, Sera ya Elimu na Mafunzo, elimu kutokidhi mahitaji ya elimu katika ngazi zote na hivyo.
kuhitaji vyanzo vingine vya ugharimiaji endelevu wa elimu na. mafunzo , Utekelezaji wa Ibara ya 146 1 ya Katiba ya Jamhuri ya. Muungano wa Tanzania 1977 kuhusu ugatuaji umekuwa na. changamoto mbalimbali Katiba inatamka katika Sura ya Nane. kuhusu madaraka kwa umma kwamba madhumuni ya, kuwapo Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi. na hivyo kuwezesha Serikali za Mitaa kuwajibika kutekeleza. kazi zake katika eneo husika Sheria za Serikali za Mitaa zinatoa. majukumu kwa Halmashauri kuhusu elimu katika Kifungu cha. 55 cha Sheria ya Serikali za Mitaa Mamlaka ya Miji ya 1982 Ni. kwa mantiki hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. wa uongozi wa elimu kwa kupeleka madaraka na majukumu katika ngazi ya shule jamii wilaya na mikoa kuinua ubora wa elimu kuimarisha uhusiano kati ya elimu rasmi na elimu nje ya mfumo rasmi na kuwezesha ukuaji wa utamaduni wa elimu ya kujiajiri na kubuni ajira Katika miaka 19 ya utekelezaji wa Sera ya kwanza ya Elimu na

Related Books