OFISI YA RAIS UTUMISHI tanzania go tz

Ofisi Ya Rais Utumishi Tanzania Go Tz-Free PDF

  • Date:20 Apr 2020
  • Views:232
  • Downloads:0
  • Pages:118
  • Size:411.66 KB

Share Pdf : Ofisi Ya Rais Utumishi Tanzania Go Tz

Download and Preview : Ofisi Ya Rais Utumishi Tanzania Go Tz


Report CopyRight/DMCA Form For : Ofisi Ya Rais Utumishi Tanzania Go Tz


Transcription:

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA,RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA. UMMA MHESHIMIWA CELINA OMPESHI,KOMBANI MB AKIWASILISHA BUNGENI. MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA,KWA MWAKA 2013 14,A UTANGULIZI. 1 Mheshimiwa Spika naomba kutoa,hoja kwamba kutokana na taarifa. iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na,Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba.
Sheria na Utawala iliyochambua bajeti ya Ofisi,ya Rais Ikulu Fungu 20 na 30 Menejimenti ya. Utumishi wa Umma Fungu 32 Sekretarieti ya,Maadili ya Viongozi wa Umma Fungu 33. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,Fungu 67 Tume ya Utumishi wa Umma. Fungu 94 Tume ya Mipango Fungu 66 na,Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi. wa Umma Fungu 9 Bunge lako sasa lipokee na,kujadili Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na.
Bajeti kwa Mwaka 2012 13 Aidha naliomba,Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Mpango. wa Utekelezaji na Makadirio ya Fedha kwa Ofisi,ya Rais kwa mwaka wa fedha 2013 14. 2 Mheshimiwa Spika awali ya yote,nampongeza Mheshimiwa Dkt Pindi Hazara. Chana Mb kwa kuchaguliwa kwa mara,nyingine kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge. ya Katiba Sheria na Utawala pia ninampongeza,Mheshimiwa William Mganga Ngeleja Mb kwa.
kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti na,Wajumbe wote walioteuliwa katika Kamati hiyo. Aidha nawapongeza Wenyeviti Makamu,Wenyeviti na Wajumbe walioteuliwa kwenye. Kamati mbalimbali za Bunge lako Tukufu katika,zoezi lililofanyika hivi karibuni. 3 Mheshimiwa Spika ninapenda pia,kuishukuru Kamati ya Bunge ya Katiba Sheria. na Utawala chini ya Mwenyekiti na Makamu,wake kwa ushirikiano maelekezo na ushauri.
mzuri iliyotoa wakati wa kupitia Taarifa ya,Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa. Fedha 2012 13 na Mapendekezo ya Makadirio,ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka. 2013 14 hatua ambayo imetuwezesha kuandaa,na kuwasilisha Hotuba hii ya Bajeti. 4 Mheshimiwa Spika naomba pia,kutumia nafasi hii kumpongeza Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa.
umahiri wake katika kuiongoza nchi yetu Chini,ya uongozi wake Serikali imetekeleza kwa. kiwango kikubwa ahadi alizotoa kwa wananchi,wakati wa Uchaguzi Mkuu kama zilivyoainishwa. katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha,Mapinduzi ya Mwaka 2010 Mafanikio. yaliyopatikana chini ya uongozi wake,yamewezesha kuendelea kukua kwa uchumi wa. nchi yetu na kuwavutia wawekezaji kuendelea,kuwekeza nchini na Washirika wa Maendeleo.
kuona umuhimu wa kuendelea kuiunga mkono,5 Mheshimiwa Spika napenda. kumpongeza Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt,Mohamed Gharib Billal kwa uongozi wake bora. Aidha napenda kuchukua fursa hii,kumpongeza Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo. Kayanza Peter Pinda Mb kwa kusimamia vyema,shughuli za Serikali na utekelezaji wake Hotuba. yake aliyoitoa kwenye Bunge lako tukufu wakati,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya mwaka.
2013 14 ni kielelezo cha ukomavu wake katika,uongozi na imeonesha mwelekeo na dira ya. utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa mwaka,2013 14 Ningependa pia kumpongeza Waziri. wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa,na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Hawa. Abdulrahman Ghasia Mb kwa Hotuba yake,aliyoiwasilisha katika Bunge lako. 6 Mheshimiwa Spika naomba nikupongeze,wewe binafsi kwa kuongoza Bunge letu Tukufu.
kwa busara na hekima Nampongeza pia Naibu,Spika Mheshimiwa Job Yustino Ndugai Mb kwa. kuendesha vyema shughuli za Bunge,7 Mheshimiwa Spika naomba. kumshukuru Mheshimiwa Stephen Masato,Wasira Mb Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais. Mahusiano na Uratibu Mheshimiwa Kapt Mst,George Huruma Mkuchika Mb Waziri wa Nchi. Ofisi ya Rais Utawala Bora na Mheshimiwa,Profesa Mark James Mwandosya Mb Waziri wa.
Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum kwa,ushirikiano wao mkubwa katika kuandaa na. kukamilisha hotuba hii Aidha nawashukuru,Balozi Ombeni Yohana Sefue Katibu Mkuu. Kiongozi Bwana George Daniel Yambesi Katibu,Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi. wa Umma Bwana Peter Alanambula Ilomo,Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Bwana HAB. Mkwizu Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bibi Susan.
Paul Mlawi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Ikulu Makamishna na Watendaji Wakuu wa. Tume na Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais,Wakurugenzi na Wafanyakazi wote wa Ofisi ya. Rais na Taasisi zake ambao wamefanya kazi,kubwa katika kuwezesha hotuba hii kukamilika. kwa wakati Nawashukuru pia wananchi wa,Jimbo langu la Ulanga Mashariki kwa. ushirikiano wao wanaoendelea kunipa na,kuniwezesha kutekeleza majukumu yangu.
katika nafasi niliyonayo,8 Mheshimiwa Spika kwa masikitiko. makubwa natoa pole kwako binafsi Bunge lako,pamoja na jamaa na familia ya Mbunge. aliyefariki dunia wakati wa vikao vya Kamati ya,Mambo ya Nje vya kujadili Bajeti za Wizara. Marehemu Salim Hemed Khamis Mb wa Jimbo,la Chambani Aidha natoa pole kwa Watanzania. wenzangu waliopotelewa na ndugu zao,kutokana na majanga mbalimbali yaliyotokea.
katika kipindi hiki yakiwemo kuporomoka kwa,jengo la ghorofa 16 Jijini Dar es Salaam na. machimbo ya changarawe Mkoani Arusha,Tunamuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za. marehemu mahali pema peponi na awajalie,ndugu wa marehemu moyo wa subira. 9 Mheshimiwa Spika kwa namna ya,pekee napenda kuzishukuru Nchi na Washirika. wa Maendeleo ambao wamechangia kwa kiasi,kikubwa katika mafanikio tuliyopata Hivyo.
nachukua nafasi hii kuzishukuru Nchi hizo na,Mashirika ya Maendeleo ya Kimataifa ifuatavyo. Australia China Indonesia Finland Brazil,India Italia Japan JICA Korea ya Kusini. KOICA Malaysia Misri Pakistan Singapore,Thailand Ubelgiji Uholanzi Uingereza DFID. Ujerumani GIZ Uswisi Marekani USAID,Ireland Israel Canada CIDA Denmark. DANIDA Norway NORAD Sweden SIDA,Jumuiya ya Madola Jumuiya ya Ulaya Benki.
ya Dunia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa,Japan Japanese Social Development Fund. UNDP na OPEC,10 Mheshimiwa Spika hotuba yangu,itazungumzia maeneo matatu 3 ambayo ni. Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa mwaka,2012 13 Mpango wa Utekelezaji wa mwaka. 2013 14 na Maombi ya Fedha kwa mwaka,B MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO. WA 2012 13,11 Mheshimiwa Spika utekelezaji wa,Mpango na Bajeti kwa mwaka 2012 13.
umezingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo ya,2025 Mpango wa Miaka Mitano wa Maendeleo. 2011 12 2015 16 Mkakati wa Kukuza,Uchumi na Kupunguza Umasikini Tanzania. MKUKUTA na Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha,Mapinduzi ya mwaka 2010 Kazi zilizotekelezwa. na kila Taasisi ni kama ifuatavyo,OFISI YA RAIS IKULU NA TAASISI ZAKE. 12 Mheshimiwa Spika ili kutekeleza,majukumu yake katika mwaka 2012 13 Ofisi.
ya Rais Ikulu na Sekretarieti ya Baraza la,Mawaziri ilitengewa jumla ya Shilingi. 9 146 327 000 Fungu 20 na Shilingi 217,100 430 000 Fungu 30 kwa ajili ya Matumizi. ya Kawaida na Shilingi 50 382 037 000 kwa,ajili ya Miradi ya Maendeleo Hadi kufikia Machi. 2013 Shilingi 6 729 551 638 Fungu 20 na,Shilingi 176 832 510 433 Fungu 30 za. Matumizi ya Kawaida zilipokelewa na kutumika,Kwa upande wa Miradi ya Maendeleo jumla ya.
Shilingi 42 185 855 677 zilipokelewa na,13 Mheshimiwa Spika Ofisi ya Rais. Ikulu imeendelea kuongoza kufuatilia na,kusimamia utekelezaji wa shughuli za Serikali. Katika kipindi cha mwezi Julai 2012 hadi,Machi 2013 kazi zifuatazo zilitekelezwa. i Huduma kwa Rais na familia yake,zilitolewa,ii Huduma za ushauri kwa Rais katika. maeneo mbalimbali kama vile Uchumi,Siasa Jamii Sheria Mahusiano ya.
Kimataifa zilitolewa,iii Mikutano 31 ya Sekretarieti ya Baraza la. Mawaziri ilifanyika ambapo Nyaraka 70,zilichambuliwa mikutano 17 ya Kamati. Maalum ya Makatibu Wakuu IMTC,ilifanyika na Nyaraka 45 zilichambuliwa. na ushauri kutolewa Mikutano 16 ya,Baraza la Mawaziri ilifanyika na Nyaraka. 36 zilifanyiwa uamuzi Mikutano sita 6 ya,Kazi ya Makatibu Wakuu ilifanyika na.
ajenda 13 zilijadiliwa Mikutano minne 4,ya Kamati ya Katiba Sheria na Bunge ya. Baraza la Mawaziri ilifanyika ambapo,Miswada minne 4 ilichambuliwa. iv Tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa,Awamu ya Pili ya Mkakati wa Taifa Dhidi. ya Rushwa ilikamilika mwezi Septemba,2012 Matokeo ya tathmini hiyo ni. kuongezeka kwa uwazi na uwajibikaji,katika sekta ya umma Aidha matokeo.
haya yatatumika katika maandalizi ya,Mpango wa Awamu ya Tatu NACSAP III. v Mafunzo ya Utawala Bora na njia za,kupambana na Rushwa kwa Wajumbe wa. Baraza la Wafanyakazi 48 Ikulu Mawakili,wa Serikali 60 na Wajumbe 80 wa Kamati. za Uadilifu kutoka Wizara zote Idara za,Serikali Zinazojitegemea na Wakala wa. Serikali yalifanyika,vi Katika Mpango wa Uendeshaji wa.
Shughuli za Serikali kwa Uwazi Open,Government Partnership Serikali kupitia. Wakala ya Serikali Mtandao imekamilisha,uanzishwaji wa Tovuti ya Wananchi. Citizen Portal itakayotoa taarifa kwa,wananchi kuhusu namna ya kupata. huduma mbalimbali zitolewazo na Serikali,na Taasisi zake. vii Taarifa za nusu mwaka za utekelezaji wa,Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za.
Serikali kwa Uwazi katika Sekta za Afya,Maji na Elimu zimetolewa na kuonyesha. utekelezaji mzuri wa mpango katika sekta,hizo Aidha Mpango huo umewekwa. kwenye Tovuti kwa ajili ya rejea kwa,wananchi ambayo ni www opengov go tz. viii Rufaa 45 za Watumishi wa Umma,zilichambuliwa na kuwasilishwa kwa Rais. kwa uamuzi Aidha malalamiko 120 ya,Watumishi wa Umma na wananchi.
wengine yalichambuliwa na kutolewa,maelekezo na Rais au Katibu Mkuu. Kiongozi Vilevile mkutano wa,kueleweshana kuhusu usimamizi na. utawala wa masuala ya Utumishi wa,Umma ulifanyika ambapo Watendaji na. Mawakili 40 wa Serikali walishiriki,ix Taarifa jumuishi ya utekelezaji wa. Programu za Maboresho kwa mwaka,2011 12 na taarifa tatu 3 za robo mwaka.
za utekelezaji wa Programu nane 8 za,Maboresho zilichambuliwa kwa utekelezaji. Taarifa zimeonesha kuwa utekelezaji kwa,ujumla umekuwa wa wastani. x Vikao vinne 4 vya Maboresho vilivyo,shirikisha Makatibu Wakuu Waratibu wa. Programu za Maboresho katika Wizara na,Washirika wa Maendeleo vilifanyika na. vilijadili maendeleo na changamoto katika,utekelezaji wa maboresho Baadhi ya.
changamoto ni pamoja na kuchelewa kwa,upatikanaji wa fedha na kupungua kwa. misaada ya Washirika wa Maendeleo na,hivyo kuathiri utekelezaji wa maboresho. yaliyokusudiwa,xi Tathmini ya kitaifa ya utekelezaji wa. maboresho itakayobainisha mafanikio na,fursa zilizopo kwa lengo la kujenga misingi. ya maboresho yatakayokabiliana na,changamoto za sasa na baadaye.
inaendelea Tathmini hii inatarajia,kukamilika mwezi Mei 2013 na itatumika. katika kuandaa mkakati ujao wa,xii Mkakati wa kupambana na kuenea kwa. virusi vya UKIMWI na UKIMWI mahali pa,kazi uliandaliwa. xiii Ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi,inayotekelezwa na TASAF na MKURABITA. ulifanyika katika Mikoa ya Simiyu Geita,Mwanza Njombe Mbeya Singida na.
Morogoro Aidha uratibu wa Awamu ya,Tatu ya TASAF ulifanyika na kukamilika. xiv Mikutano mitatu 3 ya kuelimishana,kuhusu kuheshimiana na kuvumiliana. katika imani za kidini kwa lengo la,kudumisha amani ya nchi ilifanyika baina. ya Serikali na viongozi wa dini mbalimbali,katika Mikoa ya Dar es Salaam na. xv Mikutano miwili 2 baina ya Serikali na,Viongozi wa dini mbalimbali katika Mikoa.
ya Geita na Mwanza ilifanyika kwa lengo la,kupata suluhisho katika mgogoro wa. uchinjaji wanyama Serikali bado,inaendelea na jitihada za usuluhishi wa. mgogoro huu ili kuona namna bora ya,xvi Kazi ya ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano. Ikulu imeanza ambapo ujenzi wa msingi,umekamilika Ujenzi huu unatarajiwa. kukamilika Desemba 2013,xvii Ukarabati mkubwa wa Ikulu Ndogo ya.
Tanga umefanyika na kukamilika Aidha,matengenezo ya kawaida ya jengo la Ikulu. RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA Mafunzo ya Utawala Bora na njia za wananchi ambayo ni www opengov go tz

Related Books