Maarifa ya Uislamu manmudy files wordpress com

Maarifa Ya Uislamu Manmudy Files Wordpress Com-Free PDF

  • Date:08 Nov 2019
  • Views:403
  • Downloads:21
  • Pages:339
  • Size:7.07 MB

Share Pdf : Maarifa Ya Uislamu Manmudy Files Wordpress Com

Download and Preview : Maarifa Ya Uislamu Manmudy Files Wordpress Com


Report CopyRight/DMCA Form For : Maarifa Ya Uislamu Manmudy Files Wordpress Com


Transcription:

Maarifa ya Uislamu
Maarifa ya Uislamu
Darasa la Watu Wazima
Juzuu 2
Toleo la Pili
Nguzo za Uislamu
Islamic Propagation Centre
Maarifa ya Uislamu
Darasa la Watu Wazima
Juzuu ya Pili
Toleo la 2
Islamic Propagation Centre
Toleo la Kwanza Septemba 10 2003
Nakala 2000
Toleo la Pili November 5 2006 Shawwal 14 1427
Nakala 1000
Kimetayarishwa na Kusambazwa na
Islamic Propagation Center IPC
P O BOX 55105 Simu 022 2450069
Dar es Salaam TANZANIA
Kimechapwa na
Afroplus Industries LTD
P O Box 32427 Tel 022 2773751
Dar es Salaam
Tanzania
NENO LA AWALI KWA TOLEO LA PILI
Shukurani zote na sifa zote njema anastahiki Allah s w Bwana Mlezi wa
Walimwengu wote Rehema na amani zimwendee Mtume Muhammad s a w
ahili zake Swahaba zake na wale wote waliofuata na wanaofuata mwenendo
wake Sunnah yake katika kuhuisha na kusimamisha Uislamu katika jamii
Tunamshukuru Allah s w kwa kutuwafikisha kutoa Toleo hili la Pili
la juzuu ya pili ya Maarifa ya Uislamu katika mfululizo wa Mafunzo haya
yanayotolewa katika Juzuu Saba kwa lengo la kuwawezesha watu kuufahamu
Uislamu katika usahihi wake na kuwapa ari na hamasa ya kuufuata katika
maisha yao ya kila siku na hatimaye kuusimamisha katika jamii
Juzuu hii ya pili ya Darasa la Watu Wazima pamoja na kuainisha nguzo
tano za Uislamu na lengo kuu la nguzo hizo imechukua pia jukumu la kuainisha
lengo la kila nguzo na namna linavyofikiwa Aidha juzuu hii ya pili imezingatia
hali halisi ya mazingira ya jamii ya Waislamu na imejaribu kutathmini utekelezaji
na ufikiaji wa lengo la kila nguzo ya Uislamu Ili kufikia lengo kwa ufanisi
juzuu hii imegawanywa katika sura tano zifuatazo
1 Shahada
2 Kusimamisha Swala
3 Zakat na Sadaqat
4 Swaumu
5 Hija na Umra
Katika Toleo hili la Pili sura hizi zimeboreshwa zaidi hasa katika eneo
la kuonesha namna linavyofikiwa lengo la kila nguzo ya Uislamu Uboreshaji
huu umefanyika ili kuzidi kuwapa Waislamu uwezo wa kutekeleza nguzo za
Uislamu kwa usahihi na kupata maandalizi stahiki yatakayo wawezesha
kuusimamisha Uislamu katika jamii
Kwa kuzingatia kuwa kazi ya binadamu haikosi mapungufu kwani ukamilifu
haupo ila kwa Allah s w tu tunawaomba wasomaji wetu wa juzuu hizi za Darasa
la Watu Wazima mvumilie mapungufu yote yale yanyovumilika na mtoe
masahihisho maoni na mapendekezo yenu kwa ajili ya kuboresha mafunzo haya
ili lengo tarajiwa lifikiwe kwa ufanisi
Tunachukua fursa hii kuwashukuru na kuwaombea dua Allah s w awalipe
kheri nyingi hapa duniani na akhera wale wote waliochangia na wanoendelea
kuchangia utoaji na uboreshaji wa mafunzo haya
Mola wetu Tupe uongofu utakao kwako na Tutengenezee uongofu katika kila
jambo letu 18 10
Aaamiin
i
Yaliyomo
Neno la Awali Kwa Toleo la Pili i
Utangulizi Viii
Sura ya Kwanza SHAHADA
Kutoa Shahada Mbili 1
Maana ya Shahada ya Kwanza 1
Maana ya Shahada ya Pili 2
Mwenendo wa Mtu aliyetoa Shahada 4
Kujielimisha kwa Ajili ya Allah s w 5
Kuwa na Hekima 6
Ikhlas 6
Kujiepusha na Ria na Kujiona 8
Kuepuka Unafiki 9
Kuwa Mkweli 11
Kujiepusha na Uwongo 12
Uwongo na Ulaghai katika Biashara 13
Ni wapi uwongo unaporuhusiwa 14
Kuwa Muaminifu Kuchunga Amana 15
Madaraka ni Amana 17
Uchaguzi ni Amana 17
Kazi ni Amana 18
Mali ya Umma ni Amana 19
Siri ni Amana 20
Kuwa Muadilifu 21
Kuchunga Ahadi 22
Deni ni Ahadi 25
Nadhiri ni ahadi 27
Mikataba ni Ahadi 28
Kuepuka Usengenyaji 31
Kujiepusha na Dharau 33
Kujiepusha na Matusi 34
Kuepuka Mabishano 35
Kuepuka kujisifu na kujitukuza 36
Kuepukana na Kibri na Majivuno 37
Kuepukana na Kulaani Ovyo 39
Kujiepusha na Viapo 40
Kujiheshimu na kuwaheshimu wengine 40
Kuwa Mpole na Mnyenyekevu 42
Kuwa mwenye Huruma 43
Kuwa na Haya 45
Kuwa na Upendo 46
Kujiepusha na Chuki na Uadui 48
ii

. na ufikiaji wa lengo la kila nguzo ya Uislamu Ili kufikia lengo kwa ufanisi juzuu hii imegawanywa katika sura tano zifuatazo 1 Shahada 2 Kusimamisha Swala 3 Zakat na Sadaqat 4 Swaumu 5 Hija na Umra Katika Toleo hili la Pili sura hizi zimeboreshwa zaidi hasa katika eneo la kuonesha namna linavyofikiwa lengo la kila nguzo ya Uislamu

Related Books