KISWAHILI reb rw

Kiswahili Reb Rw-Free PDF

  • Date:06 Nov 2019
  • Views:984
  • Downloads:4
  • Pages:179
  • Size:5.62 MB

Share Pdf : Kiswahili Reb Rw

Download and Preview : Kiswahili Reb Rw


Report CopyRight/DMCA Form For : Kiswahili Reb Rw


Transcription:

Hati milki, 2019 Bodi ya Elimu Rwanda, Kitabu hiki ni mali ya Bodi ya Elimu Rwanda Haki zote zimehifadhiwa Kimetayarishwa. na Bodi ya Elimu Rwanda kwa idhini ya Wizara ya Elimu . Chapa ya Kwanza 2019, DIBAJI,Mwanafunzi Mpendwa, Bodi ya Elimu Rwanda inayo heshima kwa kutoa kitabu hiki cha Somo la Kiswahili. Michepuo mingine kidato cha nne kitabu cha mwanafunzi Kitabu hiki kitakuwa. waraka rasmi utakaoongoza ufundishaji na ujifunzaji kuendana na mtaala. uegemeao katika uwezo , Falsafa ya Elimu Rwanda inalenga katika kumpatia mlengwa uwezo katika kila. ngazi ya Elimu kuweza kumudu vizuri katika jamii na kumpa fursa ya kujipatia. ajira , Ili kwenda sambamba na juhudi za kuboresha ubora wa Elimu Serikali ya Rwanda. inasisitiza umuhimu wa kufungamanisha ujifunzaji na ufundishaji na zana pamoja. na mitaala ili kuwezesha mchakato wa wa ujifunzaji Mambo mengi yanayoathiri. yale ambayo wanafunzi wanafundishwa namna nzuri ya kujifunza na uwezo. waupatao Mambo hayo ni pamoja na umuhimu mahsusi wa yaliyomo ubora. wa walimu mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mikakati ya upimaji na vifaa vya. kufundishia vilivyopo Tumezingatia umuhimu wa mbinu zenye mchakato wa. kujifunza ambao unakuwezesha kuendeleza mawazo yako na kufanya ugunduzi. mpya wakati wa mazoezi thabiti yawe ya binafsi au katika makundi kwa msaada wa. walimu ambao majukumu yao ni kufanikisha ufundishaji Utapata stadi zinazofaa. kukuwezesha kutumia yale uliyojifunza katika miktadha ya maisha halisi Kwa. kufanya hivyo utaonyesha tofauti siyo tu katika maisha yako bali hata kwa Taifa . Hii inatofautiana na mfumo wa zamani kuhusu nadharia ya ujifunzaji iliyosisitiza. mchakato wa kujifunza kama upataji wa maarifa kutoka yule aliyemzidi maarifa. na hasa akiwa ni mwalimu , Katika mtaala uegemeao katika uwezo ujifunzaji unachukuliwa kama mchakato.
wa kazi ya kujenga na kuendeleza maarifa na ufahamu stadi na maadili na. mweneno mwema kutoka kwa mwanafunzi ambapo dhana aghalabu huanzishwa. kwa mazoezi hali na mazingira yanayomsaidia mwanafunzi kujenga maarifa . kuendeleza stadi na upatikanaji chanya wa maadili na mwenendo mwema . Aidha kazi ya kujifunza hujishughulisha na wanafunzi kwa kufanya mambo na. kufikiri kuhusu yale wanayoyafanya na wanafarijika kuonyesha uzoefu wao halisi. na maarifa katika mchakato wa ujifunzaji , Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi iii. Katika ufahamu huu ufanisi mzuri kwa kutumia kitabu hiki jukumu lako litakuwa . Kuendeleza maarifa na stadi kwa kufanya kazi mazoezi yanayolenga. kwenye mada Kuwasiliana na kupeana taarifa sahihi pamoja na. wanafunzi wengine kwa kupitia wasilisho mijadala kazi katika. makundi na mbinu nyingine za ufundishaji kama michezo ya kuigiza . utafiti uchunguzi na utafiti katika maktaba katika mitandao na nje ya. shule , Kushiriki na kuwajibika kuhusu ujifunzaji wako na Kufanya utafiti . uchunguzi kwenye maandishi yaliyochapishwa mtandaoni wataalam na. kuwasilisha matokeo ya utafiti , Kuhakikisha ufanisi mzuri wa mchango wa kila mwanakundi katika. kazi sahihi uliyopewa kupitia maelezo na majadiliano unapoongea. hadharani , Kutoa hitimisho sahihi kuhusu matokeo ya utafiti uliotokana na mazoezi. ya ujifunzaji , Napenda kutoa shukrani kwa wale wote walioshiriki kutoa mchango wa.
kuboresha kitabu hiki na hasa wafanyakazi wa Bodi ya Elimu Rwanda CTLR REB . walioandaa mchakato wa kazi hii tokea ilipoanza , Pongezi muhimu ziwaendee walimu chuo Kikuu cha Rwanda kwa msaada wao wa. kutoa wataalamu ambao ni wahadhiri walimu wachoraji waliosaidia kusimamia . kuendeleza na kufanikisha uboreshaji wa kazi hii kuhusu picha na michoro sahihi . Maoni au mawazo yoyote yanakaribishwa kwa ajili ya uboreshaji wa kitabu hiki. kwa matoleo yatakayofuata ,Dr Ndayambaje Ir n e,Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Elimu Rwanda. iv Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi, SHUKRANI. Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote walioshiriki kwa hali na. mali katika kukiandaa na kukifanikisha kitabu hiki Kitabu hiki kisingeliwezekana. kufanikiwa bila kuwepo wadau mbalimbali walioshiriki jambo ambalo limenifanya. nitoe shukrani zangu za dhati , Shukrani zangu ziwaendee vyuo vikuu na shule mbalimbali walioruhusu. wafanyakazi wao kufanya kazi na Bodi ya Elimu katika mradi wa utoaji wa kitabu. hiki Napenda kutoa shukrani zaidi kwa Wahadhiri na walimu ambao juhudi zao na. uandikikaji wa kitabu hiki ulivyo kuwa wa thamani . Natoa shukrani zangu kwa shule mbalimbali Rwanda zilizoweza kuwaruhusu. walimu na wahadhiri katika kuandaa kitabu hiki hadi kuhaririwa kwake . Shukrani zaidi ziwaendee vyuo vikuu na shule mbalimbali walioruhusu wafanyakazi. wao kufanya kazi na Bodi ya Elimu katika mradi wa utoaji wa kitabu hiki Napenda. kutoa shukrani zaidi kwa Wahadhiri na walimu ambao juhudi zao na uandikikaji wa. kitabu hiki ulivyokuwa wa thamani , Mwishowe neno la mwisho la shukrani liwaendee wafanyakazi wote wa Bodi ya.
Elimu Rwanda CTLR REB walioshiriki katika mchakato wa kufanikisha uandikaji. wa kitabu hiki ,Joan Murungi, Mkuu wa idara ya Mitaala Ufundishaji Ujifunzaji na Zana CTLR . Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi v, YALIYOMO. DIBAJI iv,SHUKRANI vi,UTANGULIZI x, MADA KUU YA 1 MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MAZINGIRA MBALIMBALI 14. MADA NDOGO MSAMIATI KATIKA MAZINGIRA YA HOSPITALI 14. SOMO LA 1 MAZUNGUMZO HOSPITALINI 15, 1 1 Kusoma na Ufahamu Mazungumzo Hospitalini 15. 1 2 Msamiati Kuhusu Mazingira ya Hospitali 19, 1 3 Sarufi Matumizi ya Kiambishi nge 20.
1 4 Matumizi ya lugha Vifaa vya Hospitalini 22, 1 5 Kusikiliza na kuzungumza 23. 1 6 Kuandika 23,SOMO LA 2 USAFI WA MAZINGIRA YA HOSPITAL 24. 2 1 Kusoma na Ufahamu Umuhimu wa Usafi wa Mazingira Hospitalini 24. 2 2 Msamiati kuhusu Usafi Hospitalini 26, 2 3 Sarufi Matumizi ya Kiambishi ngeli 28. 2 4 Matumizi ya Lugha 30, 2 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano na Mawasilisho 31. 2 6 Kuandika Utungaji wa Kifungu 31,SOMO LA 3 ADABU HOSPITALINI 32.
3 1 Kusoma na Ufahamu Maelekezo na Kanuni Hospitalini 32. 3 2 Msamiati kuhusu Adabu Hospitalini 34, 3 3 Sarufi Matumizi ya Kiambishi chenye Dhana ya Masharti ngali 36. 3 4 Matumizi ya Lugha Msamiati wa Adabu 37, 3 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 38. 3 6 Kuandika Sifa za Aya katika Uandishi 38, MADA KUU YA 2 MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MAZINGIRA MBALIMBALI 42. MADA NDOGO MSAMIATI KATIKA MICHEZO 42,SOMO LA 4 MICHEZO SHULENI 43. 4 1 Kusoma na Ufahamu Timu Hodari 43, 4 2 Msamiati kuhusu Michezo Shuleni 46.
4 3 Sarufi Matumizi ya majina ya ngeli ya LI YA 47. 4 5 Kusikiliza na Kuzungumza Zoezi la Kutangaza Mpira wa Miguu Redioni 49. vi Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi, 4 6 Kuandika Utungaji 49. SOMO LA 5 FAIDA ZA MICHEZO 50, 5 1 Kusoma na Ufahamu Faida za Michezo 50. 5 2 Msamiati kuhusu Faida za Michezo 52, 5 4 Matumizi ya Lugha Utambuzi wa Maana za maneno 56. 2 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 57, 2 6 Kuandika Utungaji wa Kifungu cha Habari 57. SOMO LA 6 MASHINDANO KATIKA MICHEZO 58, 6 1 Kusoma na Ufahamu Mchezo wa Kandanda 58.
6 2 Msamiati kuhusu Mchezo wa Kandanda 61, 6 3 Sarufi Matumizi ya Vivumishi vya Kuuliza vya Idadi na vya Sifa 62. 6 4 Matumizi ya Lugha Upangaji wa Maneno katika Sentensi na Miktadha ya. Matumizi 64, 6 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 64. 6 6 Kuandika Utungaji wa Kifungu kuhusu Matukio ya Mchezo 64. MAADA KUU YA 3 UHAKIKI WA HADITHI ZA MASIMULIZI KATIKA KISWAHILI 68. MADA NDOGO MUHTASARI FANI NA MAUDHUI 68,SOMO LA 7 MUHTASARI 69. 7 1 Kusoma na Ufahamu Mhunzi Tulia 69, 7 2 Msamiati Kuhusu Kifungu 71. 7 3 Sarufi Majina ya Ngeli ya Pa na vivumishi vyake 72. 7 4 Matumizi ya Lugha Sifa za Muhtasari 75, 7 5 Kusikiliza na kuzungumza Majadiliano 77.
7 6 Kuandika Uandishi wa Muhtasari 77,SOMO LA 8 FANI KATIKA HADITHI SIMULIZI 78. 8 1 Kusoma na Ufahamu Kobe na Nyani 78, 8 2 Msamiati kuhusu kifungu 81. 8 3 Sarufi Matumizi ya Majina ya Ngeli ya M na Vivumishi Ambatana 82. 8 4 Matumizi ya Lugha Fasihi 85, 8 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 88. 8 6 Kuandika Utungaji wa Hadithi 88,SOMO LA 9 MAUDHUI KATIKA HADITHI SIMULIZI 89. 9 1 Kusoma na Ufahamu Wafalme Wawili 89, 9 2 Msamiati kuhusu Wafalme Wawili 92.
9 3 Sarufi Matumizi ya Majina ya Ngeli ya Ku na Viumishi Ambatana 93. Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi vii, 9 4 Matumizi ya Lugha Maudhui katika Fasihi 95. 9 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 97, 9 6 Kuandika Utungaji wa Hadithi 97. MADA KUU YA 4 UKUZAJI WA MATUMIZI YA LUGHA KIMAZUNGUMZO 102. MADA NDOGO MIDAHALO NA MIJADALA 102,SOMO LA 10 MDAHALO 103. 10 1 Kusoma na Ufahamu Mazungumzo Baina ya Wanafunzi 103. 10 2 Msamiati kuhusu Maana ya Mdahalo 106, 10 3 Sarufi Matumizi ya Hali ya Kushurutisha kwa Vitenzi 107. 10 4 Matumizi ya Lugha Maana ya Mdahalo 109, 10 5 Kusikiliza na Kuzungumza 110.
10 6 Utungaji 110, SOMO LA 11 MAANDALIZI NA UTEKELEZAJI WA MDAHALO 111. 11 1 Mdahalo Dawa za Kulevya Ndilo Tatizo Linaloathiri Maendeleo ya Vijana . 11 2 Msamiati kuhusu Mdahalo 119, 11 3 Sarufi Matumizi ya Vitenzi vya Silabi Moja 120. 11 4 Matumizi ya lugha Maandalizi na Utekelezaji wa Mdahalo 122. 11 5 Kusikiliza na Kuzungumza Mdahalo 124, 11 6 Kuandika Uandishi wa Mdahalo 124. SOMO LA 12 MJADALA 125, 12 1 Kusoma na Ufahamu Maana ya Mjadala 125. 12 2 Msamiati kuhusu Maana ya Mjadala 127, 12 3 Sarufi Hali Shurutishi ya Vitenzi 129.
12 4 Matumizi ya Lugha Maana ya Mjadala 131, 12 5 Kusikiliza na Kuzungumza 132. 12 6 Utungaji 132, SOMO LA 13 MAANDALIZI NA UTEKELEZAJI WA MJADALA 133. 13 1 Mjadala kuhusu Mchango wa Wazazi katika Malezi ya Watoto Wao 133. 13 2 Msamiati kuhusu Andalio la Mjadala 138, 13 3 Sarufi Matumizi ya Hali ya Vitenzi 139. 13 4 Matumizi ya lugha Maandalizi na Utekelezaji wa Mjadala 141. 13 5 Kusikiliza na Kuzungumza 142, 13 6 Utungaji 143. MADA KUU UTUNGAJI 146, viii Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi.
MADA NDOGO INSHA ZA MASIMULIZI AU ZA KUBUNI 146,SOMO LA 14 MAANA YA INSHA 147. 14 1 Kusoma na Ufahamu Tarakilishi 147, 14 2 Msamiati kuhusu Kifungu cha Habari 149. 14 3 Sarufi Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa 151, 14 4 Matumizi ya Lugha Maana ya Insha na Sifa Zake 152. 14 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 153, 14 6 Utungaji Uandishi wa Insha 153. SOMO LA 15 AINA ZA INSHA 154, 15 1 Kusoma na Ufahamu Nchi Yetu 154.
15 2 Msamiati kuhusu Nchi Yetu 156, 15 3 Sarufi Usemi wa Taarifa 157. 15 4 Matumizi ya Lugha Aina za Insha 159, 15 5 Kusikiliza na Kuzungumza Majadiliano 163. 15 6 Utungaji Uandishi wa Insha ya Wasifu 163,SOMO LA 16 INSHA ZA MASIMULIZI 164. 16 1 Kusoma na Ufahamu Siku Yangu ya Kwanza katika Shule ya Sekondari. Kidato cha Nne 164, 16 2 Msamiati Kuhusu Insha ya Masimulizi 166. 16 3 Sarufi Usemi wa Asili na Usemi wa Taarifa 168. 16 4 Matumizi ya Lugha Sehemu za Insha 173, 16 5 Kusikiliza na Kuzungumza 175.
16 6 Utungaji 175,MAREJEO 176, Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi ix. UTANGULIZI, Kiswahili ni lugha ambayo imepewa kipaumbele zaidi kutokana na urahisi wake. wa kutumiwa kama lugha rasmi miongoni mwa lugha nyingine zinazotumiwa. katika Jumuiya ya Afrika Mashariki Nchini Rwanda lugha ya Kiswahili hufundishwa. katika shule za upili kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha tatu katika ngazi ya. chini ya sekondari Zaidi ya hivyo mbali na mchepuo wa lugha ambapo Kiswahili. hufundishwa katika mchepuo wa Kiingereza Kinyarwanda na Kiswahili lugha hii. hufundishwa pia katika michepuo mingine Kwa hivyo lugha ya Kiswahili imepiga. hatua kimatumizi katika jamii mbalimbali barani Afrika na hata ulimwenguni Nchi. kama vile Marekani Ujerumani na nchi nyingi za Ulaya hufundisha Kiswahili na. kukitumia katika mazingira tofauti , Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuwalenga wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini. Rwanda wanaosoma katika kidato cha nne michepuo isiyokuwa na somo la Kiswahili . Kila mada iliyojadiliwa katika kitabu hiki imegawanywa katika mada ndogo ndogo . Ambapo kila mada ndogo huwa na masomo mbalimbali yenye kugusia vipengele. vifuatavyo , Kusoma na ufahamu, Maswali ya ufahamu. Matumizi ya msamiati wa msingi, Sarufi, Matumizi ya lugha.
Kusikiliza na kuzungumza, Kuandika , Masomo yaliyopendekezwa katika kitabu hiki yamezingatia matakwa na mahitaji ya. nchi ya Rwanda Kwani Kiswahili kinahitajika kutumika katika mawasiliano mapana. katika Jumuiya ya Afrika ya mashariki Aidha Mwanafunzi anatakiwa kujifunza hatua. kwa hatua masomo yote yaliyopendekezwa ili aweze kujijengea na kujifungulia. milango ya kujiendeleza na kuliendeleza taifa lake kwa jumla . Uwezo utakaopatikana kupitia masomo hayo utamwezesha mwanafunzi. kukabiliana na matatizo mbalimbali yanayojitokeza katika maisha yake ya kila siku . Kujilinda na magonjwa mbalimbali katika elimu ya afya ya uzazi kutunza mazingira . elimu kuhusu uzalishaji mali au ujasiriamali usawa wa jinsia mafunzo kuhusu amani. na maadili , x Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi. Ili kufanikisha ujifunzaji wake ni vyema mwanafunzi ajitahidi kufanya mazoezi. yaliyotolewa kwa kila somo Vilevile ni jambo muhimu kusoma kwa makini na. kufanya uchunguzi wa mada zilizojadiliwa katika kitabu hiki Mazoezi mengi. yaliyopendekezwa yatamwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake katika kiwango. cha utafiti ushirikiano na utawala binafsi na stadi za maisha na kuendeleza. mchakato wa kujifunza kama upataji wa maarifa kutoka yule aliyemzidi maarifa na hasa akiwa ni mwalimu Katika mtaala uegemeao katika uwezo ujifunzaji unachukuliwa kama mchakato wa kazi ya kujenga na kuendeleza maarifa na ufahamu stadi na maadili na mweneno mwema kutoka kwa mwanafunzi ambapo dhana aghalabu huanzishwa

Related Books